Tuesday, 21 April 2009

Mkoloni

Nimejibu, Nimeuliza,
Mkoloni, Ninini Alilofikiria
Kuvunja, Kufuja, Kufutilia, Hata Lugha
Yote Kupotea
Mila Desturi, Fikira Maudhui
Ukweli Tuliojua
Uongo Tumejivalisha
Koti, Shati, Tai, Kwa Ukoloni
Twajidai
~ James Adolwa

A little 1960's style Swahili Poetry.

No comments:

Post a Comment